BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja Ukraine yaishutumu Urusi kwa kuwashambulia kwa makombora watu waliohamishwa Kherson
Mashambulizi ya makombora ya Urusi yaua mtu mmoja huku wakazi wakitoroka mafuriko yaliyosababishwa na uvunjaji wa bwawa la Ukraine.
Je, Donald Trump anakabiliwa na mashtaka gani ya jinai kuhusu nyaraka za siri?
Maelezo ya hati ya mashtaka hayatafichuliwa hadi atakapofika kortini. Haya ndiyo tunayofahamu kufikia sasa.
Mgogoro wa Sudan: Jinsi watu wanavyozika miili inayoharibika mitaani huko Khartoum
Baada ya wiki kadhaa za mapigano makali ya kudhibiti mji mkuu wa Sudan, baadhi ya wakaazi wa Khartoum wanapambana na tatizo wasilolitarajia – wanashughulika na maiti zinazozidi kuongezeka katika mitaa ya jiji.
Tazama: Droni zawapelekea maji waliokwama katika mafuriko Ukraine
Jeshi la Ukraine limetoa picha za video zinazoonyesha ndege zisizo na rubani zikitoa chupa za maji kwa watu waliokwama kutokana na mafuriko katika maeneo yanayodhibitiwa na Urusi katika eneo la Kherson.
Je, ni matatizo gani ya kiafya yanayowakabili wanaume wakati wake zao wanapojifungua
Watu wengi hufikiri kwamba huzuni baada ya kujifungua au wasiwasi ni hali ambayo huathiri wanawake pekee. Lakini kwa kweli, hali hii pia huwaathiri wanaume na tafiti zingine zinakadiria kuwa hutokea miongoni mwa 10% ya akina baba.
Fahamu mikakati ambayo Ukraine inaweza kutumia ili kurejesha maeneo yaliotekwa na Urusi
Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imeelezea wazi, Kyiv haina nia ya kutangaza au kudokeza ni jinsi gani au lini itafanya mashambulizi yake ya muda mrefu ya kujaribu kutwaa tena eneo lililotekwa na Urusi katika kipindi cha miezi 16 iliyopita, lakini dalili zinaonyesha kuwa huenda imeanza harakati hizi.
Uchaguzi wa Nigeria 2023

Ni nani yuko kwenye kinyang'anyiro cha kuiongoza Nigeria?
Wafahamu wagombeaji walio kwenye kinyang'anyiro cha kuiongoza Nigeria katika uchaguzi wa Februari mwaka huu
Erling Haaland, Vinicius Jr na Bukayo Saka waorodheshwa kama wachezaji 'ghali zaidi ulimwenguni' na watafiti
Mshambulizi wa Manchester City Erling Haaland ndiye mchezaji ghali zaidi duniani akiwa na thamani ya euro 245.1m (£211.2m), utafiti mpya unasema.
Yanga mbioni kuandikisha historia
Timu hiyo inaendelea na mazoezi huku hamasa ikiwa ni kubwa.
Chef Ali: Mpishi aliyejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na upishi wake
Chef Ali kama anavyofahamika kwa umaarufu hupika vyakula vya asili.
Tazama: Wizi wa pombe dukani wamtumbukia nyongo
Kanda za CCTV zilimnasa mwizi mmoja aliyejaribu kuiba pombe katika duka moja la kuuza pombe karibu na eneo la Perth, Australia.
Teknolojia ya simu inayotumika kuelimisha watu kuhusu utalii wa Tanzania
Tanzania ni moja ya nchi duniani zinazotegemea sana utalii katika kujipatia mapato yake, na hutumia njia nyingi kufanya hivyo.
Tazama: Meli ya kivita ya China yaitishia ile ya Jeshi la Wanamaji la Marekani katika mkondo wa bahari wa Taiwan
Tazama: Meli za kivita za China zikikaribia sana Jeshi la Wanamaji la Marekani katika Mlango wa Bahari wa Taiwan
Tazama: Mafunzo kwa vitendo kukabili changamoto ya ajira Tanzania
Chuo kikuu cha Stella Maris kilichopo mkoani Mtwara kinanatoa mafunzo maalumu ya ubanguaji na uchakataji wa korosho.
"Nilikuwa nikiuchukia uso wangu lakini sasa najivunia"
"Wazazi wangu walionizaa walishtushwa na sura yangu na waliniacha saa 36 baada ya kuzaliwa kwangu. Hiyo ilikuwa ngumu."
Taarifa kuhusu Coronavirus
Janga la Corona miaka miwili: Mambo matano tuliyojifunza
Mnamo Machi 11, 2020, Shirika la Afya Duniani lilitangaza rasmi mlipuko wa Covid-19. Hivi ndivyo mambo yalivyobadilika
'Covid ilinihofisha nikagandisha yai langu'
Kliniki zinazoongoza za uzazi nchini Uingereza zinaendelea kushuhudia ukuaji wa matibabu ya kugandisha yai.
Omicron na Delta zasababisha tsunami ya kesi za covid-WHO
Walakini, Dk Tedros aliwaambia waandishi wa habari kampeni kubwa nchi tajiri kutoa chanjo za ziada "zina uwezekano wa kuongeza muda wa janga hili", kwani wanaelekeza vifaa kutoka kwa nchi masikini, ambazo hazina chanjo,
Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia lengo la chanjo ya kimataifa
Lengo la kufikia 40% ya viwango vya chanjo kamilifu katika kila nchi hadi kufikia mwisho wa mwezi Disemba halijafanikiwa barani Afrika.
Nitajitunza vipi baada ya kupata Covid?
Ni lini inafaa kuondoka kwenye kiti au kitanda ?
Dalili za Omicron: Je mafua ni dalili ya virusi vya corona?
Je mafua yanaweza kuwa dalili ya Omicron?
Maswali yako matano kuhusu kirusi hatari cha corona yajibiwa
Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao.
Ramani mubashara hali ya coronavirus duniani
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica
Tuyajenge
Global Newsbeat
Dira TV

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 08/06/2023, Muda 25,12
BBC yazungumza na mmoja wa waokoaji wa Shakahola, na mengine mengi na Roncliffe Odit.
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 9 Juni 2023, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 9 Juni 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 9 Juni 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Juni 2023, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Je unatumia gari?, haya ni mambo tisa unayofaa kuzingatia
Wengi wetu hutumia magari kuendesha au kwa shughuli za kibiashara lakini huenda hatujui mambo fulani muhimu kuyahusu. BBC ilizungumza na Satya Gopal, ambaye ana uzoefu wa miaka 15 kama mhandisi wa magari, ambaye alitueleza mambo haya tisa muhimu ya kuzingatia:
Mswada wa Fedha:Wabunge wa Kenya katika njia panda kuhusu kuongeza ushuru zaidi au afueni kwa wananchi
"Baadhi yenu viongozi mnadanganya Wakenya, lakini fahamuni kwamba ikiwa mbunge wenu anapinga Mswada wa Fedha, hafai kuuliza barabara,"-Gachagua
'Ngozi yangu nyeusi inasema mimi si kitu'
Mnamo Februari, Rais Kais Saied aliamuru "hatua za haraka" dhidi ya wahamiaji wa Kusini mwa Jangwa la Sahara
Uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam: Serikali ya Tanzania yazungumza
Serikali ya Tanzania imejikuta ndani ya mjadala mzito wenye misingi ya uwekezaji katika bandari za nchi hiyo, ambazo ni moja ya rasilimali muhimu za kiuchumi, huku Mamlaka ya usimamizi wa Bandari TPA ikilazimika kutoa taarifa ya ufafanuzi kwa umma usiku wa kuamkia hii leo.
Tunachojua kuhusu shambulio la bwawa la Nova Kakhovka
Bwawa kubwa katika eneo linalodhibitiwa na Urusi kusini mwa Ukraine limeharibiwa na kusababisha mafuriko ya maji.
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.